Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni matokeo makubwa sana. Tunahutaji point 3 tu kwa sasaAfadhali Kakolanya kaendeleza clean sheet kwa mnyama wa Msimbazi
..
Point moja ugenini sio haba...
Huko iwe sare ama ahly ashinde, ikiwa hivo AS Vita ndo itakuwa kwakheri mana akija hapa nyumbani haponi na hao merek wakija hapa pia hawatokiMatokeo kama haya pia yanatakiwa kwa AS Vita na Al Ahl
hujui mpira mkuu
Wametoa drooJamani wengine tuko polini huku redio zenyewe wanatangaza kama hawataki vile mitangazooo kibaoooo tupeni update jamani
kabisa mkuuAfadhali Kakolanya kaendeleza clean sheet kwa mnyama wa Msimbazi
..
Point moja ugenini sio haba...
Al Ahl hawezi kupigwa kwaoHuko iwe sare ama ahly ashinde, ikiwa hivo AS Vita ndo itakuwa kwakheri mana akija hapa nyumbani haponi na hao merek wakija hapa pia hawatoki