Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo huyu miss kawekwa kwapaniMiquisone kafichwa leo
Ndio jambo jema mana ahly akishinda basi shughuli imeisha lazima tutaenda robo fainal. Mana tuna match mbili nyumbani dhadi ya vita na Merreck na uwezo wa kuwafunga nyumbani tunao bila shaka yoyote tukipata point 4 tu tayari tusha pita.Al Ahl hawezi kupigwa kwao
Wasudani mpaka wanafika hii hatua waliwatoa Enyimba wako vzrSimba leo mbovu kimeo kabisa
Hivyo ndio viwango vyaoSijui Sudan hali ya hewa imewakataa wachezaji sina hakika
Tuamkie basi, tunawatafutie nafasi ya timu 4HONGERENI WATANI😁😁
Hawa TP Mazembe tuletewe robo fainali. Wamepigwa kwao na Mamelod
Al Ahl akimpiga As Vita, Hapo tutakuwa tunahitaji point 3 tu. Maana Vita hata akishinda game zote atakuwa na point 6 jumla 9.
Sisi yanga tunaumia sana kwa haya matokeo.Kwani Simba si tulikubaliana tunashinda kila mechi kwa kikosi chetu kipana pira Biriani 4G?
Draw ya nini tena jamani?[emoji24][emoji22]
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Kama vya cost kule Tanga mkuuHivyo ndio viwango vyao
Mtani subiri kidg narudi😁Tuamkie basi, tunawatafutie nafasi ya timu 4
Usikariri hivo kupata draw leo ni janga kwetuHuko iwe sare ama ahly ashinde, ikiwa hivo AS Vita ndo itakuwa kwakheri mana akija hapa nyumbani haponi na hao merek wakija hapa pia hawatoki
Sawa we wajua, ila tutajutia hii mechi ya leohujui mpira mkuu
Simba imevuna ponts 4 ugenini hadi sasa jambo ambalo utopolo hawajawahi pata tangu mwaka 35 huko sijui.Kwani Simba si tulikubaliana tunashinda kila mechi kwa kikosi chetu kipana pira Biriani 4G?
Draw ya nini tena jamani?[emoji24][emoji22]
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Mahesabu ni mazuri sana, tukipata point 4 tu zinatosha na tumebakiza mech 2 kwa Mkapa na 1 ugenini, kadri iwavyo, point 4 au hata zote 6 tunavuna. Robo fainali naiona mchana kweupeeeeAS Vita ana point 3, akimaliza game ya leo atabakiza game 3 ambazo akishinda zote anapata 9 points: ukijumlisha na hizi 3 ni 12.
Mahesabu bado hayajakaa sawa.
Hakuna janga hapo mkuu
ooh yes hesabu haziko sawa. basi hii game iwe drooAS Vita ana point 3, akimaliza game ya leo atabakiza game 3 ambazo akishinda zote anapata 9 points: ukijumlisha na hizi 3 ni 12.
Mahesabu bado hayajakaa sawa.
mkuu basi kusoma comments tu. yaani unaipuuza droo ya ugenini