ilikuwa lazima afukuzwe kama kashindwa mpiga timu kibonde kama simba atamuweza nani
Kufuzu makundi?????????????So tukimchapa kenge yeyote pale kwa mkapa tushafuzu makundi sio?
kufuzu na kuvuka ni tofauti et eh?Kufuzu makundi?????????????
Hivi wewe shabiki wa mpira kweli??
As Vita hawezi chomoka hii game hata km wamerogaCairo Stadium
Dakika ya 10'
Toka uwanja huu wa kimataifa Al Ahly ndiyo inaonekana kukamia kutafuta matokeo chanya kujaribu kukusanya pointi zote 3
Al Ahly SC 0 - 0 AS Vita Club
Kama ilivyokuwa kwa Simba leo.Dakika 32'
fursa 2 nyingine ndani lakini mipira yote ya Al Ahly inaokolewa na AS Vita Club toka mstari wa goli, kweli kuna mkono wa bwana unaisaidia hii timu ya Kinshasa DR Congo
Al Ahly SC 0 - 0 AS Vita Club
Sarpong anafichwa kila siku πππMiquisone kafichwa leo
Hapana mkuu sio rahisi wakikaza sana sare