Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Siku hizi chama amekuwa kama Dilunga...toka mechi ya mwisho na platinum hajachangamka kabisa...sio ligi, sio super cup wala sio champions league
 
Aisee lile nilijua goli kusadeki si nika coment goaal kuangalia slow motion kumbe ngoma imepigwa nje.....Ah ikanibidi nifute na coment yenyewe
goli liache kuwa lile la kichwa ama faulo iwe hilo la kijinga jinga
 
Tunakosa utulivu flani tunapokaribia goli lao

Halafu kitu kingine miaka yote huwa tunapata shida sana dhidi ya timu zinazocheza physical game
hakuna physical game hapa mnaongoza kwa kutumia mabavu

jamaa ndo wamekosa utulivu kuna goli 3 kama wasudani wangetulia
 
Simba itashindwa kwa shida sana
Bwalya anatakiwa kutoka leo hayuko vizuri, aingie Dilunga akaongeze kasi pale mbele ama kahata, hata hivyo Mzamiru leo pia hajakaa sawa inge faa sana akaingia mkude.

Luis kila akigusa mpira watu 3 hadi 4 tayari wesha fika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…