Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who cares?Kuna mchezaji kaumia sasa wangefanyaje?
nitajie mchezaji mmoja ambaye amewahi kuwa kwenye form maisha. Messi na CR mwenyewe hawajawahisiku hizi chama amekuwa kama dilunga...toka mechi ya mwisho na platinum hajachangamka kabisa...sio ligi, sio super cup wala sio champions league
Aisee lile nilijua goli kudadeki si nika coment goaal kuangalia slow motion kumbe ngoma imepigwa nje.....Ah ikanibidi nifute na coment yenyeweHT Merrick 0- 0 Simba
Hapa hakuna sare,tunawapiga kamoja
hahaha mnapigwa 2 timu mbovu kdg babu onyango anasaidiaHT Merrick 0- 0 Simba
Hapa hakuna sare,tunawapiga kamoja
goli liache kuwa lile la kichwa ama faulo iwe hilo la kijinga jingaAisee lile nilijua goli kusadeki si nika coment goaal kuangalia slow motion kumbe ngoma imepigwa nje.....Ah ikanibidi nifute na coment yenyewe
hakuna physical game hapa mnaongoza kwa kutumia mabavuTunakosa utulivu flani tunapokaribia goli lao
Halafu kitu kingine miaka yote huwa tunapata shida sana dhidi ya timu zinazocheza physical game
Tulia bwana mdogo we baki ng'ambo mjeshi yuko mtoni anapigana na mambaTuambieni mnayoiona mechi - nasikia hali ni tete kwa Smba?
Bwalya anatakiwa kutoka leo hayuko vizuri, aingie Dilunga akaongeze kasi pale mbele ama kahata, hata hivyo Mzamiru leo pia hajakaa sawa inge faa sana akaingia mkude.Simba itashindwa kwa shida sana
Unashangaa Nini??Hawa jamaa sio vibonde kabisa, walipigwaje 4 na Vita?