halijawa sasa.... maana hiyo nalo ni la kijingagoli liache kuwa lile la kichwa ama faulo iwe hilo la kijinga jinga
Ni nadra ila wapo...niambie ni msimu gani CR au Messi hawajawahi kuwa form (uje na takwimu)..mbona unawatumia watu exceptional kuhalalsha utetezi wako..ungesema labda watu kama hazaard, na wengine sawanitajie mchezaji mmoja ambaye amewahi kuwa kwenye form maisha. Messi na CR mwenyewe hawajawahi
ila ya nyau ndo ya kibwege sanahalijawa sasa.... maana hiyo nalo ni la kijinga
ajawahi kuwa mkali zaidi ya vigoli viwili vya kubahatishaChama kaishaaa
Unaongea kishabiki sana tatizo lakohakuna physical game hapa mnaongoza kwa kutumia mabavu
jamaa ndo wamekosa utulivu kuna goli 3 kama wasudani wangetulia
Labda ni sehemu ya mbinu za mwalimu. Kumbuka tupo ugenini. Enzi za Kocha uchebe tushakula Khamsa mida kama hiiLeo simba hatuchezi vizuri... pale fina third hakuna utulivu.. naona kama Mugalu atoke aingie Kagere..
Simba usiangushe Taifa.El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani.
Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh.
Kuwa nami kukujuza yatakayojiri Sudan
========
00' Mwamuzi anapiga filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo
11' Mabadiliko kwa upande wa El Merrikh, Ramadan Agaba anaingia baada ya kuumia Hamza Daud
13' Simba wanajaribu kucheza pasi nyingi kuelekea lango la Al Merrikh lakini beki anatibua mpango wao
18' Almanusura Al Merrikh waandike bao la kwanza baada ya faulo maridadi kumkuta mchezaji wa Al Merrikh na kupiga kichwa kilichoenda nje kidogo ya goli
25' Ramadhan Agabu wa Al Merrikhanapiga kichwa mpira uliotokea kona lakini unagonga mwamba
27' Tony anajaribu kupiga shuti kuelekea lango la Simba lakini Benn Kakolanya anaukamata barabara
37' Mugalu anawekwa chini, mpira wa adhabu kuelekea Al Merrikh
38' Chama anapiga free kick lakini mlinda mlango anaudaka na kulala chini kuashiria kuumia
45' Bwalya anapiga shuti kali lakini unakwenda nje kidogo ya lango
45+1' Mpira mapumziko, Al Merreikh 0-0 Simba
Wao ndio watasare sio sisiAu tutasare!?
nani anacheza kimabavu zaidi ya simbaUnaongea kishabiki sana tatizo lako
Kidonda chako bado kibichi hizi anga sio mahala sahihi kutafuta farajaila ya nyau ndo ya kibwege sana
mechi ya wanaume hiiTP Mazembe 0 : 0 Mamelod - HT
Ni mzuri sana lakini bado ana wenge kweny mpira wa adhabu na konaKakolanya ni kipa mzuri sana
hii anga nyeupe watu tumepita anga zilizo mezwa na moshi wa matairi yaliyo chomwa iwe anga hiiKidonda chako bado kibichi hizi anga sio mahala sahihi kutafuta faraja