Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

nitajie mchezaji mmoja ambaye amewahi kuwa kwenye form maisha. Messi na CR mwenyewe hawajawahi
Ni nadra ila wapo...niambie ni msimu gani CR au Messi hawajawahi kuwa form (uje na takwimu)..mbona unawatumia watu exceptional kuhalalsha utetezi wako..ungesema labda watu kama hazaard, na wengine sawa
 
Hawa jamaa wanataka goli kwa udi na uvumba simba waanze kupaki basi
 
El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani.

Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh.

Kuwa nami kukujuza yatakayojiri Sudan

========

00' Mwamuzi anapiga filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo

11' Mabadiliko kwa upande wa El Merrikh, Ramadan Agaba anaingia baada ya kuumia Hamza Daud

13' Simba wanajaribu kucheza pasi nyingi kuelekea lango la Al Merrikh lakini beki anatibua mpango wao

18' Almanusura Al Merrikh waandike bao la kwanza baada ya faulo maridadi kumkuta mchezaji wa Al Merrikh na kupiga kichwa kilichoenda nje kidogo ya goli

25' Ramadhan Agabu wa Al Merrikhanapiga kichwa mpira uliotokea kona lakini unagonga mwamba

27' Tony anajaribu kupiga shuti kuelekea lango la Simba lakini Benn Kakolanya anaukamata barabara

37' Mugalu anawekwa chini, mpira wa adhabu kuelekea Al Merrikh

38' Chama anapiga free kick lakini mlinda mlango anaudaka na kulala chini kuashiria kuumia

45' Bwalya anapiga shuti kali lakini unakwenda nje kidogo ya lango

45+1' Mpira mapumziko, Al Merreikh 0-0 Simba
Simba usiangushe Taifa.
Ili neno Visit Tanzania lisomeke vizuri
 
Kidonda chako bado kibichi hizi anga sio mahala sahihi kutafuta faraja
hii anga nyeupe watu tumepita anga zilizo mezwa na moshi wa matairi yaliyo chomwa iwe anga hii

anga gani hizi babu wawa kachanuliwa msamba kaishia kushika mmeokolewa na mahaba ya refa.
 
Back
Top Bottom