OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chama piga hiyo foul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Awe fair tu kwakweli 😀Huyu refa filimbi yake nahisi haina pulling haiwezekani kila sek mbili wakiwa na mpira wachezaji wa simba inapulizwa
Aisee! Awe fair tu kwakweli [emoji3]
Subiri niingie kilingenihuyu jamaa aliyrpiga hii freekick baada ya mechi nataka nijue mshahara wake na maelewano na boss wake yakoje
Mimi ni Yanga babe!Kwan wew timu gani?
Coast union? Timu ya nchi gani hiyoTunacheza na Coast union
Aah kumbeKila rakheri Simba ingawa siwapendi ila kwa leo niko upande wenu[emoji14] msituangushe sasa
Atakuwa kala hela mpuuzi huyu.Huyu refa filimbi yake nahisi haina pulling haiwezekani kila sek mbili wakiwa na mpira wachezaji wa simba inapulizwa
Dr ebu tupumzishe kidogo basi wanayanga😀😀
Sawa[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Dr ebu tupumzishe kidogo basi wanayanga[emoji3][emoji3]
Kakolanya ni kipa mzuri sanaHuyu kakoranya anatutesa mioyo huyu jaman