Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

hii anga nyeupe watu tumepita anga zilizo mezwa na moshi wa matairi yaliyo chomwa iwe anga hii

anga gani hizi babu wawa kachanuliwa msamba kaishia kushika mmeokolewa na mahaba ya refa.
Malalamiko FC kesho police wanawasubili kwa haaam
 
wawa kapigwa njano baada ya lumchezea rough mchezaji wa el merick
 
Hawa wadqanzi walijua penat macho yakawatoka slow motion imewaumbua
 
Daaah huyu pimbi angetuchomesha bora kocha kamtoa
 
Chama kazi yake sasa hivi uwanjani ni kushusha Tempo ya timu tu.
 
Back
Top Bottom