Usihangaike rudi kwenye ule uziKumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Pole sana! Sikushangai, najua umeumia sana kutoa sare na Yanga kushinda. Ulitegemea Yanga ipigwe ufurahi!!Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Bro nakuomba pmUsihangaike rudi kwenye ule uzi
ni kweli, ni ya wakimbizi ambao wangecheza na mikia wangewafunga. na ninyi inakuwaje mmeshindwa kukafunga kale katimu ka uchochoroni zambia? ile timu ni sawa tu na geita au mwadui. wachima shaba wanawashinda?Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Wale wako kwao, hawana stress, na walidhani watatufunga ikawa siyo!! Saa hii tamaa ya kuendelea imewatoka!!ni kweli, ni ya wakimbizi ambao wangecheza na mikia wangewafunga. na ninyi inakuwaje mmeshindwa kukafunga kale katimu ka uchochoroni zambia? ile timu ni sawa tu na geita au mwadui. wachima shaba wanawashinda?
Ule mkangafu uliocheza Leo ndola,una uwezo wa kupata hata sare kwa Al merikh!?Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Mm nakushangaa sana kwan walikuwa hawachezi na hata uongozi wa fifa haujui kuw kuna vita huko kwao,, kwanini wacheze maana...... yake wanajiamni ndo maana wamechezaKumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Galaxy mliwatoa hapa hapa kwa mkapa๐๐๐wakija Dsm watafungwa sana, hawaijui simba ikiwa home.
AahaaaaaaKumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Yanga wanaevolve vizuri sanaYanga ndo tim inayobadilika mpka sas kutoka katika zama za kale kuja katika zama za sas na bado mtasema tu