Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
kwahiyo currently under fisadis (CUF) kinapendezwa na uislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hivyo ananur iandike chadema watoa zwadi miskitini wakati wanachukia uislam?
Naomba nitoe maoni yangu hasa nikizingatia kuwa wachangaiaji wengi hawafanyi research kujua kile wamachoongelea. Kuna vyombo vya habari vya serikali na vile vya binafsi, gazeti la Annur ni la watu binafsi. Tofauti na vyombo vingine vya binafsi vilinavyojitambulisha kwa mfano Habari corp, IPP na Msemakweli ambalo linatolewa na Kanisa, ni vigumu sana kujua Annur linatolewa na chombo gani. Ni watu ambao wanaandika na kuwakilisha mawazo yao peke yao kama ya waislam. Naomba mwenye data anipe kuwa ni nani au chombo gani [Bakwata, baraza etc] kinachosimamia Annur.
Kwa maneno mengine ni jarida ambalo linajitambulisha kama gazeti la kiislam lakini hakuna ridhaa ya waislam kama society kuwa Annur ni gazeti lao. Kw mantiki hiyo maoni ya Annur si uwakilishi wa waislam kwa sababu halitolewi na chombo chochote kile kinachojulikana kisheria. Ninafaham waislam wengi tu wanaokerwa na Annur ''in a way''. Kwahiyo tusiyachukulie maoni ya watu wachache kama maoni ya society yote hadi pale tutakapopata uthibitisho kuwa gazeti ni mali ya mamlaka halali inayotambulika kisheria,hata kama litamilikiwa na kundi X basi ni kundi hilo litakalowakilishwa na sio waislam wote!!!
Kuhusu ushabiki kwa CUF, ni jarida na watu hao hao wanaweza kuwa na malengo yao ya kisiasa, lakini kwa ufinyu wa kuelewa, hata CUF wanapata wakati mgumu sana kwasababu kwa nchi kama tz ukigombea kwa gia ya udini basi wewe ni msindikizaji. CUF wanafaham, lakini Annur si organization ni watu wachache. Lakini ukweli ni kuwa politically Annur destructs CUF startegically! period!
Mwisho, gazeti la uhuru likiandika jambo ni kauli ya CCM maana linasimamiwa na CCM. Lakini gazeti la Tanzania Daima likitoa kauli si kauli ya Chadema maana si gazeti la chama ingawa mrengo wake ni chadema. Hata msemakweli au kiongozi bado nikisoma habari zake nitahitaji kuthibitisha kama ni Kauli za Kanisa au maoni ya mhariri. Tufungue macho na kuangalia kwa upana na si emotion. Askofu anayeendeshagari la kanisa akigonga mtu anakuwa ni dereva ambaye pia ni askofu aliyeendesha gari, linalomilikiwa na kanisa. Hii haina maana kanisa limegonga mtu! hadi pale kanisa litakapothibitisha kuwa lilimtuma askofu. Kwa mantiki hiyo Annur ni gazeti linaloandika habari za kiislam na limeegemea upande wa siasa za CUF! haina maana kuwa Waislam wamellituma gazeti la Annur kuandika habari za CUF, hadi pale ''Only and Only if'' Waislam kwa ujumla wao watathibitisha kuwa wamefanya hivyo.
Honestly, I hate to write about religion or any spiritual ideology, however I'm compelled to, because some of JF members are driven by emotion and not facts. I believe that believers and none all are entitled to respect not because of their faith, but as human. I call upon, the JF members who are fanatics, ignoble, ignorant and libertine, not to embarass the forum because they are ''superior atheist, Christian, Islam, Jews, sikh or Hindu''. Keep your faith alone!
kwa hiyo lipumba na yeye ana wosia kutoka kwa marehemu mtume muhamad?