liandike kwa kiswahili na sio kiarabu , huo ni utumwaHilo jina wewe linakuumizaje kichwa sheikh. Ni jina kama jina jingine. Mi napenda niitwe Kafir. Mbona na nyie mnatuita sisi wafuga Majini na hatukasiriki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
liandike kwa kiswahili na sio kiarabu , huo ni utumwaHilo jina wewe linakuumizaje kichwa sheikh. Ni jina kama jina jingine. Mi napenda niitwe Kafir. Mbona na nyie mnatuita sisi wafuga Majini na hatukasiriki?
Moyo wangu unaamani kwani nikifa inshallah waislam tunaingia peponiunanufaika nini na uislam ?
Una amani maana tayari una ahadi ya kutafuna bikra 72 au wewe ni yule mfokolewaji kule mahabusu?Moyo wangu unaamani kwani nikifa inshallah waislam tunaingia peponi
Israel , CIAAlkaeda, alnursa front, Hamas, bokoharam nk
Mnajidanganya kuna lingine linakuja ndio mtajua hamjui!Kafiri bado upo? Utapa presha maaana uislam unaingia kwa kasi ktk nchi ambazo wakiristo wapo wengi