Sun Zu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2022
- 636
- 1,819
Mji wa Holon huko Israel umepigwa kwa idadi ya Makombora kadhaa huku Al Qasam ambalo ni tawi la Hamas likithibitisha kuhusika na shambulio hilo.
Wakati huo huo inaripotiwa idadi ya makombora kadhaa kupiga sehemu za Tel Aviv yakitokea Gaza.
Haya yanajiri baada ya mwaka mmoja wa mapigano kati ya Jeshi la IDF la Israel na Wapiganaji wa Hamas wanaoiongoza Gaza, Palestine.
Hii inafuta kauli ya Jeshi la IDF iliyotoa miezi kadhaa iliyopita kwamba imemaliza kabisa uwezo wa Kijeshi wa Hamas na kwamba sio tishio tena
Source: Al Quds Network telegram channel