mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Haya sasa! Mnaokomaa eti mnataka kuikomboa Tanzania oneni kwa wenzenu! Nchi yetu nzuri sana, basi tu, tunapigiwa makelele na ile saccos ya wapiga dili eti kila jambo ni baya humu nchini! Nendeni somalia na Iphone zenu muone chamoto!
vita ipo kila aina mjomba si umeona leo maduka yamefungwa kariakoo serikali wanampango kuwanyanyasa wafanyabiashara maskin Tz., kwani lazima ukatazwe kutumia iphone tu hizi nchi za afrika ni mashaka mashaka tu mkuu.,,