FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Situation kama ya Nigeria kule, wiki chache zilizopita, inawezekana zilimfanya FF na waislam wengine sana wafikie kwenye 'climax'! Mara nyingi nafikiri na kuamua kuwa sisi waislam tuko kati ya human beings and devilz.
Hukuwepo wakati wa Nyerere alipotutembeza na vikopo barabarani kukusanya pesa za kuwasaidia Biafra? umeshawahi kusikia? unajuwa hao ni kina nani na Nyerere pekee katika Afrika aliwaunga mkono waziwazi? walikuwa ni wakatoliki wanaodai jimbo.