Situation kama ya Nigeria kule, wiki chache zilizopita, inawezekana zilimfanya FF na waislam wengine sana wafikie kwenye 'climax'! Mara nyingi nafikiri na kuamua kuwa sisi waislam tuko kati ya human beings and devilz.
FF, nazungumzia wasomali walohamia Kenya kutokana na civil war, freedom fighting gani hiyo?Even Mandela was called a terrorist, to me they are freedom fighters.
Ndugu yangu Mzalendo, kwenye kichwa ya muislam mdini huwezi panda mbegu ikaota, ni sawa na kupanda mbegu ya muhogo kwenye lami!
Wakenya ni wakristo safi !?Hivi Al-Shabaab ni waislamu safi?
Wakenya ni wakristo safi !?
hupendi niwe na mtazamo wangu huru ?!Aha! isiwe sasa ni mambo ya kubainisha udini. uliamua kuwa muislam kaa hivyo. wagalatia pia hivo, lakini wema wala ouvu haziji kwa jina la ugaliatia au uislamu. madhumuni yako ni yapi kuwapigia ngoma alshabaab, au wewe ni mmoja wapo wa masympathizer?
hupendi niwe na mtazamo wangu huru ?!