game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Pamoja na Vikosi vya Jeshi la ulinzi la kenya kuweweka Kambi nchini Somalia kwa takribani Muongo mmoja.
Juhudi zao zinaonekana kuwa ni Kazi bure badala yake ni upotevu wa Muda, pesa za walipakodi maskini wa Kenya pamoja na Vifo vingi sana vya Wakenya wasio na Hatia pamoja na mamia ya Wanajeshi wa KDF.
Hii inakuja baada ya Mamlaka za County ya Mandera kudai Kikundi hicho cha Kigaidi kushikilia na kukontrol 60% ya Kaunti hiyo.
Kwa sasa Al Shabaab Wanaonekana hadharani na Kuzurula kwa Uhuru kwenye County hiyo nchini Kenya na hakuna yeyote wa kuwagusa wala kuwauzia.
Wanakusanya Ushuru wa Mifugo kwa Wananchi kadiri watakavyo. Na wananchi wanalazimika kutii wakihofia maisha yao.
Mamlaka za County ya Mandela zadai huenda mbeleni kikundi hicho cha Kigaidi kikaitawala kabisa Kenya sababu kinazidi kupata Nguvu na ushawishi nchini Kenya.
ke.opera.news

Opera News - Neuesten Nachrichten In Germany-German | Aktuelle Nachrichten
Neuesten Germany-German Nachrichten auf OperaNewsApp.com bekommen: Aktuelle Nachrichten und Videos in Germany-German , Fußballnachrichten, Politik, Sport, Unterhaltung, Technik, Handel.