Al-Shabaab waitawala Kenya, wadaiwa kukusanya kodi kwa Wakenya

Al-Shabaab waitawala Kenya, wadaiwa kukusanya kodi kwa Wakenya

wawakusanye na wawatoe jela mungiki labda watawezana
 
Imagine wakati wa operation muhimu kama Westigate badala ya kuokoa watu wao wanaiba biscuits na Chocolates.
Kenya hakuna Jeshi,

Wenyewe wakiwa kwenye operations, badala ya kufikiria kazi iliyowapeleka, wanafikiria maandazi na mikate.
🤣🤣🤣
 
Hii habari inafikilisha sana, yaani askali wa nje ya nchi anatawala mkoa wa nchi nyingine na kukusanya mapato aiiii, 😷!!
 
Mnawasingizia tu Al shabab. Wale ni aggressive kenyans waliojiongeza.
 
Ndo Hawa👇
FB_IMG_1608024543745.jpg
 
Huu uzi mpaka mwisho nmesoma ,sijaona comment ya mkunya ata mmoja[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom