Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Jan 13, 2021 #21 wawakusanye na wawatoe jela mungiki labda watawezana
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Jan 14, 2021 #22 game over said: Imagine wakati wa operation muhimu kama Westigate badala ya kuokoa watu wao wanaiba biscuits na Chocolates. Kenya hakuna Jeshi, Click to expand... Wenyewe wakiwa kwenye operations, badala ya kufikiria kazi iliyowapeleka, wanafikiria maandazi na mikate. 🤣🤣🤣
game over said: Imagine wakati wa operation muhimu kama Westigate badala ya kuokoa watu wao wanaiba biscuits na Chocolates. Kenya hakuna Jeshi, Click to expand... Wenyewe wakiwa kwenye operations, badala ya kufikiria kazi iliyowapeleka, wanafikiria maandazi na mikate. 🤣🤣🤣
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jan 14, 2021 #23 Hii habari inafikilisha sana, yaani askali wa nje ya nchi anatawala mkoa wa nchi nyingine na kukusanya mapato aiiii, 😷!!
Hii habari inafikilisha sana, yaani askali wa nje ya nchi anatawala mkoa wa nchi nyingine na kukusanya mapato aiiii, 😷!!
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Jan 14, 2021 #24 Mnawasingizia tu Al shabab. Wale ni aggressive kenyans waliojiongeza.
game over JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 10,727 Reaction score 24,840 Jan 14, 2021 Thread starter #25 eliakeem said: Mnawasingizia tu Al shabab. Wale ni aggressive kenyans waliojiongeza. Click to expand... I also think so [emoji3]
eliakeem said: Mnawasingizia tu Al shabab. Wale ni aggressive kenyans waliojiongeza. Click to expand... I also think so [emoji3]
Ntaghacha JF-Expert Member Joined Jul 28, 2020 Posts 1,412 Reaction score 4,122 Jan 14, 2021 #26 Ndo Hawa👇
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Jan 14, 2021 #27 Ntaghacha said: Ndo Hawa👇 View attachment 1677697 Click to expand... Wazee wa maandazi na mikate.
Ntaghacha JF-Expert Member Joined Jul 28, 2020 Posts 1,412 Reaction score 4,122 Jan 14, 2021 #28 eliakeem said: Wazee wa maandazi na mikate. Click to expand... 😆😆😆
game over JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 10,727 Reaction score 24,840 Jan 15, 2021 Thread starter #29 eliakeem said: Wazee wa maandazi na mikate. Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3]
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,483 Reaction score 4,675 Jan 28, 2021 #30 Huu uzi mpaka mwisho nmesoma ,sijaona comment ya mkunya ata mmoja[emoji16][emoji16]
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Feb 1, 2021 #31 Tokeni hukoooo mtaisha nyie wakenya Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app