Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana ushabiki wa kitoto Sana.Duh, haya ndiyo mambo faiza foxy anapenda
Hivi Kenya tatizo ni nini?, hii ni nchi ya ajabu sana.
hawa si wana jeshi imara? Eti wanapeleka wanajeshi haiti baada ya DRC! BTW tunaambiwa Ukunyani kuna lami kila kona! Wapi Coco reborn ?
Acha uongoKuna kiongozi na wenzie ambao wako nje ya mfumo ana ujamaa na hao na huwa anatia mkono wake kuwatumia kisiasa.