Al Shabaab wasambaza video wakishambulia polisi na KDF katika ardhi ya Kenya

Al Shabaab wasambaza video wakishambulia polisi na KDF katika ardhi ya Kenya

Yule kiongozi wa Sudan alivowachimba mkwara wakenya . jeshi LA Kenya ni dhaifu sana.
Fuatilia juzi kati Kenya imependekeza kupeleka jeshi Sudan, jenerali wa Sudan alisema atakayekanyaga ardhi ya sudani hatarudi Kenya akiwa mzima. Viherehere wakaufyata.
 
Ktk hilo shambulizi kuna taarifa yoyote kwamba majeruhi ni wangapi na waliokufa ni wangapi?

Mungu awape faraja hao jamaa.
 
Back
Top Bottom