Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

Rushwa inachangia waliopewa jukumu la Ulinzi kuweka uzalendo pembeni, sababu ni nchi ya kitu kidogo aliimba Eric wainaina
 
Urafiki wa Kenya na US - mpaka wana kambi za jeshi lao nchini Kenya - hauwasaidii kuangamiza magaidi

Mzungu atakusaidia pampu za visima na vyandarua vya dawa, mengine makubwa utajikwamua mwenyewe

Ni Nyerere na Magufuli peke yao ndio walilielewa hili

Mkiendelea hivi labda mtaanza kueleweka kenye hiyo dini, mhubiri bila kuchinja watu au kulazimisha watu mambo ya dini.
 
Kenya ina mpaka mrefu Sana na Somalia sio rahisi kulinda eneo lote.
Hahahaha, ni sawa na kusema mwili wa Tembo ni mkubwa Sana hawezi kuubeba. Nchi ikishindwa kulinda mipaka yake majirani wataingia na kujigawia maeneo, huo ndio mwanzo wa serikali za Nchi kuondolewa madarakani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hamna la ajabu hapo nadhani hujawahi kufika mipakani ,tembele mipaka ya Tz utagundua kuna nyingi mno za kujipenyeza kuingia nchi jirani
 
tr
Al-Shababu ni waislamua safi kabisa sema wanamsimamo mkali.
Ni kama Wakristo Walokole Wafia Dini.

Tofauti ni kwamba Wakristo wakiwa na msimamo mkali wa Dini wanakuwa wapole.
Wenzetu wanakuwa wakali sana, hawana mizaha kwenye Dini yao.

Ukijichanganya unachinjwa.
true!!
 
hivyo ndio dini inavyotakiwa isambazwe
mtume aling'oka jino
wewe uswali tu upate pepo
kwani pepo ni ya babaako
hakuna pepo ya kuswali
Mtakufa vifo vibaya sana kwa kuua watu ovyo na lidini lenu ka kupenda damu za watu, we uliona wapi Mungu akapiganiwa kwa kuchinja watu??
 
hivyo ndio dini inavyotakiwa isambazwe
mtume aling'oka jino
wewe uswali tu upate pepo
kwani pepo ni ya babaako
hakuna pepo ya kuswali
Nani kakuambia kua hapo kuna dini , hio ni propaganda jomba.
 
Mtakufa vifo vibaya sana kwa kuua watu ovyo na lidini lenu ka kupenda damu za watu, we uliona wapi Mungu akapiganiwa kwa kuchinja watu??
Nani kakuambia kua uislam ni kuuwa watu. Embu leta ushahidi kutoka kwenye hio dini kua wameambiwa wauane. Unafeli jomba.
 
Ndugu zangu wa EAC mkiona makundi yoyote yanayofanya maangamizi, kuua kuteka nk, siyo kwamba hayafahamiki yalipo, serikali zote zinafaham ni kwamba kwa teknolojia ilipo sasa haiwezekani mtu akajificha alafu hasionekane labda kama anaishi stone age.

Kazi ya satellite ni kubwa sana, ila kinachofanyika ni uhuni tu.
ama kweli movie zimewaathiri wengi
 
Back
Top Bottom