Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
tafadhali wewe mwanamke pita kushoto HUWEZI ligi na Mimi sawa????Endelea kubwabwaja.Nyie mnafyekwa na watoto wa chekechea mle Congo ni nini mnaweza funza watu wengine. You are pathetic cowards
mmeshindwa kuwa na intelligencia imaraEndelea kubwabwaja.Nyie mnafyekwa na watoto wa chekechea mle Congo ni nini mnaweza funza watu wengine. You are pathetic cowards
Mo Yupo mikono salamaNow that Mo Dewji was kidnapped, can we all say living in Tanzania=risking your life?.
Sasa umesema nini?. Tandale inanihusu nini Kama mkenya?. We are doing fine this way my friend!...Mo Yupo mikono salama
MTU yoyote mwenye hatari kwa Taifa haijalishi yupoje/anahits vipi sisi hatubabaiki kumtrain kwa manufaa ya Nchi
siyo kama nyie mnapapatikia hadi mtoto wa tandale mnamhusudu kuliko kenyatta wenu
mmeshindwa kuwa na intelligencia imara
Kila SIKU mnavamiwa na kushambuliwa kijinga...
hivi ushawah sikia shambulio lolote la kijinga Ndani ya Tz?
kama mipaka wote tunayo
ushawah kusikia mpaka wowote wa Tz umevamiwa na waasi???
kama operation za nje tumeshiriki
ushawah sikia makundi ya kigaidi yameripua/yamevamia TZ?????
Linapokuja swala la ulinzi na usalama wa Nchi yetu kuanzia CHADEMA hadi CCM wote tunakuwa wamoja.
achilia mbali kuanzia makabila ya kusin mpaka magharibi yote yanakuwa wamoja
shida kenya mnajikuta wajuaji sanaaaa na mnapenda kubeba sifa ambazo sizo zenu (wa fake maisha)
na hata kwa east/central Africa Tanzania ndiyo Nchi ambayo imeshirik i operation nyingi sanaaaa.
Nyie alshabab wanawatoa kamasi na ka nchi chenu kadogo kama mikoa mi5 ya Tanzania
je,mngekuwa na Nchi kubwa kama Tanzania mngekuaje???????
USIPENDE KUONGEA USIYO YAJUA[/QUOTE
Ndio maana mnawacheka wakenya wanaofariki. Just be grateful that you are resistant to death. Case closed
Nchi ya wanafiki. Wakati sie tunawaombea mazuri nyie mwatuwazia mabaya. Sio sawa.kama nilivyosema awali yafaa mmshukuru Maulana kwa sababu kwenu hamna mauti.waja huishi milelenyie mnakufa kwa ulofa na UPUMBAVU wenu...
mmejaaa chuki na UKABILA.
mnapenda sanaaaa ku fake maisha
mnajifanya mna jeshi imara lakini kumbe ndiyo jeshi bovu east Africa nzima mmepitwa hadi na Uganda
mnajikuta mnausalama mzuri wa taifa lakini ndiyo manyangau mlishindwa hata kungamua shambulio la westagete na uwanja wa ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mpaka intelligencia ya watabe TISS ikamngamua gaidi aliyekimbilia huku na mkatushukuruu.
kenya mpo fooliishhhhh
na ligi nilisema HUWEZI ukaitaka hakuna kukimbia hapaaaa
hata forums kama ya jamiiforums hamnaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa umesema nini?. Tandale inanihusu nini Kama mkenya?. We are doing fine this way my friend!...
NENO WALAHImmeshindwa kuwa na intelligencia imara
Kila SIKU mnavamiwa na kushambuliwa kijinga...
hivi ushawah sikia shambulio lolote la kijinga Ndani ya Tz?
kama mipaka wote tunayo
ushawah kusikia mpaka wowote wa Tz umevamiwa na waasi???
kama operation za nje tumeshiriki
ushawah sikia makundi ya kigaidi yameripua/yamevamia TZ?????
Linapokuja swala la ulinzi na usalama wa Nchi yetu kuanzia CHADEMA hadi CCM wote tunakuwa wamoja.
achilia mbali kuanzia makabila ya kusin mpaka magharibi yote yanakuwa wamoja
shida kenya mnajikuta wajuaji sanaaaa na mnapenda kubeba sifa ambazo sizo zenu (wa fake maisha)
na hata kwa east/central Africa Tanzania ndiyo Nchi ambayo imeshirik i operation nyingi sanaaaa.
Nyie alshabab wanawatoa kamasi na ka nchi chenu kadogo kama mikoa mi5 ya Tanzania
je,mngekuwa na Nchi kubwa kama Tanzania mngekuaje???????
USIPENDE KUONGEA USIYO YAJUA
Preach![emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama haikuhusu pita kushoto
lakini ujumbe ni kwamba
yoyote ambaye anahatarisha usalama wa Nchi yetu hatusiti kumchukulia HATUA....
Watanzania tunapendana sanaa na ni wamoja
kenya huko
mkikuyu anaweza kupata taarifa ya mjaluo lakini ni kwa sababu ya kukosa umoja na UKABILA wenu
mkikuyu yupo radhi kumuuza/kunyamza kimya ili mjaluo hadhurike
lakini UPUMBAVU huo TANZANIA HAUPOO
Ndiyo maana mkivamia huku hamtak kurudi
KDF hawana uwezo wa kuweka base hapo muhimu waje kwa wazee wa kazi JWTZ kupata mbinu za kimedani au waombe hata support lasivyo watazidi kuteketeaIn issues like these we should be keeping our utani pembeni. We should join hands to say no to such violences. Poleni sana ndugu zetu, kwa nini Mandela pasiwekwe base kubwa ya jeshi tena wale wanaotoa kichapo heavy kwa nyang'au ka Al Shaabab???
Hilo umemtwanga la uso walahinyie mnakufa kwa ulofa na UPUMBAVU wenu...
mmejaaa chuki na UKABILA.
mnapenda sanaaaa ku fake maisha
mnajifanya mna jeshi imara lakini kumbe ndiyo jeshi bovu east Africa nzima mmepitwa hadi na Uganda
mnajikuta mnausalama mzuri wa taifa lakini ndiyo manyangau mlishindwa hata kungamua shambulio la westagete na uwanja wa ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mpaka intelligencia ya watabe TISS ikamngamua gaidi aliyekimbilia huku na mkatushukuruu.
kenya mpo fooliishhhhh
na ligi nilisema HUWEZI ukaitaka hakuna kukimbia hapaaaa
hata forums kama ya jamiiforums hamnaaaaa
Punguza mihemko hii taarifa sijaiona ubaya wake sasa ukitaka isiripotiwe au vipi?Mkuu wabongo vichwa vyetu sijui vina nini?karibu sifa zote mbaya utazikuta kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo umemtwanga la uso walahi
wewe mwanamke wa ki kenyaNchi ya wanafiki. Wakati sie tunawaombea mazuri nyie mwatuwazia mabaya. Sio sawa.kama nilivyosema awali yafaa mmshukuru Maulana kwa sababu kwenu hamna mauti.waja huishi milele
Sasa wewe unaongea nini hapa wakati nchi imevamiwa na wavuta bangi walimu wote wameua huku wanajeshi wenu wakiingia mitini?Endelea kubwabwaja.Nyie mnafyekwa na watoto wa chekechea mle Congo ni nini mnaweza funza watu wengine. You are pathetic cowards
Huko watu wanazikwa bure? Thank you for confirming that people die in your country. I thought you are all resistant to death that's why you laugh at Kenyans because of death occurrences. Death is natural. Every living being must taste it so there is no need to laugh at each other. Let's limit ourselves to discussing about things that add value to our lives. Those that we can't control, we need to let them be. God knows the reason. Good afternoonwewe mwanamke wa ki kenya
hebu kuwa seriously???
ni lini mlituombea mazuri???
zaidi ya kututangazia mbovu huko manapoendaga kubeba maboksi?
na unafiki wenu unakuja pale ambapo mnajua WAZi kuwa kitu siyo chenu lakini mnakipigia chapuo na kusema chenu
eg...mkiwa huko ng'ambo mnajinasibu Mt.kilimanjaro ni wenu
Serengeti yote ni Yenu
Tanzanite ni ya kwenu
hata mtoto wa tandale mnajinasibu ni wa kwenu...
ni lini uliwahi sikia mtanzania akisema wanyama au David rudisha ni kwa huku????????
huo ndiyo unafiki mkijificha kwa mgongo et mnatuombea mazuri
NARUDIA leta Fact na Wala SIYO kutafuta huruma
Yule dogo mchina hakukosea kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukikosa ardhi ya kujenga/kuzikiwa njoo TANZANIA huku ardhi ya kumwaga na hata watu wanazikwa bureee