Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
tafadhali wewe mwanamke pita kushoto HUWEZI ligi na Mimi sawa????Endelea kubwabwaja.Nyie mnafyekwa na watoto wa chekechea mle Congo ni nini mnaweza funza watu wengine. You are pathetic cowards
na kama unataka ligi sema
hivi Kati ya KDF na JWTZ
kina Nani wanafyekwa kama watt?
leta takwimu za KDF na JWTZ katika ulingo wa kushiriki operation na idadi ya wajeshi waliofariki ..
SHAME ON YOU.
na kama hujuh kitu NYAMAZA.
Tunabishana kwa fact.na wala SIYO kwa maneno ya kejeli