Al Shabab watimba ndani ya shule na kuua walimu wa Kenya

mbona unakimbia sasa?
ni mahali Gani nimesema Tanzania watu Hawafi????
ACHA kunipakazia sawa? ni namna Gani tabia zenu mbovu za wanawake wa kikenya unazionesha waziwazi kwa wanaume wa Tanzania .
Kila sehemu kuna vifo na Wala usitake kuhamisha magoli sawa????
swala la hapa
ni uzembe wa vikosi vyenu vya ulinzi na usalama Coz haiwezekani nyie mnaojitanabaisha mnajeshi Bora na intelligencia boraaa
mshindwe kungamua tukio la uvamizi
and then nyie mnasema mna zana Bora na salama inakuaje KDF washindwe kuwaokoa walimu wasidhurike???

Naona unatafuta gia ya kuondokea
Haya wasalimu kenya nitakuja kukulipia maharii coz naona na wewe unahamu ya kuolewa na Mtanzania kama wenzako
atlest upate sehemu ya kuzikwa
maan huko kwenu hadi kuzikwa unalipia
 
Inamaana kwenye tukio hili uchumi mkubwa na jeshi lenye bajeti kubwa havijafanya kazi?
 
The government of Kenya,iz not keen on defence mechanism.tangu muda l,hiz issue haziishi.serikali imeshindwa kazi ya ulinzi
 
Hahahahaha unakumbuka kambi yenu ilivovamia wakauwawa wanajeshi zaidi ya 150 Kenyatta akawa anadanganya idadi kamili ya waliokufa!!!!? shame on KDF
 
Nask KDF Hula maandaz tu kwa kwenda mbele tena ya bakhresa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…