Al-Shabab waua wanajeshi 54 raia wa Uganda

Al-Shabab waua wanajeshi 54 raia wa Uganda

Hv Kagame wajeshi wake wapo Somalia?awapereke!maana alijitapa kumaliza magaidi wa msumbiji
Kuhusu Msumbiji jeshi la Rwanda lilikuwa kama cover up Kwa majeshi ya SADC... Kutokana na umbali wa Rwanda na Mozambique. Wataalam wa majeshi watakua wamenielewa
 
Ogopa Sana kupigana na mtu ambae kifo kwake Ni ibada[emoji26]
 
Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wao hao wanajeshi.Mu7 ange-concentrate DRC,kama sisi wanajeshi wetu wanakoenda.DRC uwezekano ni mkubwa wa wanajeshi kurudi hai,kuliko Somalia.Somalia ni hatari,hata nafasi za jeshi huku kwetu,zingekua zinatangazwa halafu zinaambatana na tangazo la kwamba baada ya kuhitimu,wahitimu watapelekwa Somalia,wangejitokeza wachache sana na happy ndo tungeona wale wenye wito wa jeshi kabisakabisa.R.I.P real soldiers.
Mwanajeshi anaajiliwa akafie vitani
 
Twakumbukaaaa makamanda wetu waliokufa kwenye mapambanooo×2

If I die don't bury me, say bye bye to my family×2

Kazi ya jeshi ni nzuri sana sometimes ya ajabu ajabu
Not "Say bye bye to my family",.It is " Send my body to my family/parents"
 
Back
Top Bottom