Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

Mzee mwenzangu mbona unazeeka vibaya hivi? Hivi jeshi la nchi utasema libaki huko dar kweli?

Au nyie la kwenu liko compacted hapo nai!

BTW, siungi mkono mambo ya ughaidi nimekuelewesha hilo tu!

Shukran kaka! Nshaelewa! Ni vile sikupendezwa na wazo la mwezako pale juu nami nikaropoka
 
Aliyekudanganya kwamba uvamizi wa nchi unaleta biashara nani? kwa hasara ya mali, vifaa na rasilimali watu mnazopata sasa hivi hazilingani kamwe na biashara ya miraa mnayofanya huko Somalia..
 
Tena kupitia UN kenya imeenda kwingi tu, hata kule Asia wamefika.. Tena kenya ikituma wanajeshi mahali polite tunahakikisha sisi ndo tunaongoza mission ya UN

They think we've never attended any peace keeping mission,yet they send their soldier to be trained in karen
 
No deaths have been reported yet, the KDF apparently repulsed the attackers with motars. And the fact that there' s no word yet from yhe Alshabby about the attack- to rub it on our faces means that it was not successful.
 
Kwetu haitakuwa na manufaa kwasababu tukombali nao ni sawa na nyie kupeleka jeshi enu Zambia
My dear think hard,do understand their ideologies and what they want achieve,they hav been recruiting kenyans,wakimalizana na sisi wanaingia tz,usiangalie hapa mbele think long term about what they want achieve
 
Aliyekudanganya kwamba uvamizi wa nchi unaleta biashara nani? kwa hasara ya mali, vifaa na rasilimali watu mnazopata sasa hivi hazilingani kamwe na biashara ya miraa mnayofanya huko Somalia..
Kenya imevamia nchi ya Somalia ama imepeleka wanajeshi kupambana na wanamgambo hatari ambao wangefanya hasara eneo hili na kudumisha amani?

Hii amani na usalama- ingawaje sio kamili nchini Somalia, imefanya eneo hili kuwa mazingira pema pa kuwekeza na kufanyia biashara.

Hebu tafakari hilo kwa kutumia akili pevu, Bw. Mtui.
 
Mko nyuma ya computer mnatype upuuzi na jeshi lenyu haijawaii karibia somalia, kama nyinyi mko imara ingieni somalia mpigane na mtu ameamua kufa aendee mbinguni tuone,jeshi la kupasua matofali
Lakini si juzi tu mlinunua midege kutoka marekani au na yenyewe ilishalipuliwa
 
Aliyekudanganya kwamba uvamizi wa nchi unaleta biashara nani? kwa hasara ya mali, vifaa na rasilimali watu mnazopata sasa hivi hazilingani kamwe na biashara ya miraa mnayofanya huko Somalia..
Kenya imevamia nchi ya Somalia ama imepeleka wanajeshi kupambana na wanamgambo hatari ambao wangefanya hasara eneo hili na kudumisha amani?

Hii amani na usalama- ingawaje sio kamili nchini Somalia, imefanya eneo hili kuwa mazingira pema pa kuwekeza na kufanyia biashara.
Fedha tunazotumia katika kukabiliana na wanamgambo hawa is justified, hasara ingekuwa pale hatungefanya lolote.

Hebu tafakari hilo kwa kutumia akili pevu, Bw. Mtui.
 
Mbona Burundi wakapeleka ilhali wako mbali nanyi?? Sielewi mko mbali vipi??

Kwani Tanzania ni nchi ama ni Kijiji??
Hatunaga kihelehele kisichokuwa na maana nyie kubalini kuwa mmeshindwa tu .....Juzi naona mnapost mipicha ya midege nikadhani ndo inapelekwa huko somalia kumbe mmeficha hiyo midege nyenu
 
My dear think hard,do understand their ideologies and what they want achieve,they hav been recruiting kenyans,wakimalizana na sisi wanaingia tz,usiangalie hapa mbele think long term about what they want achieve
Yet we can't send there our troops simply because they recruit some ignorant fool Tanzanians! There must be strong reasons!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…