Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

Waliwapeleka vijana waliokotwa mtaani vijiweni hawana hata ajira wala familia? Wanapelekwa VIJANA sio vijana.
 
Tanzania I can tell you for free mmeficha al shabaab wengi sana
Kwani Al Shabaan niwakina nani..!!??
Wanaalama mpaka tujue hawa ni Al Shabaab na hawa ni raia wakawaida..!??
Alaf kama wapo na wanaishi kwa kufata sheria sisi tuna issue nao gani stil hawana madhara na sisi..!!?
 
Uve seen what is happening all over europe,Isis recruits train in the middle east and go back to their countries and form sleeper cells,after sometime they do an attack,the worst thing is this recruits are your own citizens,back to tanzania wale majambazi walioua polisi unaona walikua na nia gani? When al shabaab was recruiting in kenya do u think uganda and tanzania were an exception?
 
Vita ya ugaidi haijawahi kumuacha mtu salama
 
Waliwapeleka vijana waliokotwa mtaani vijiweni hawana hata ajira wala familia? Wanapelekwa VIJANA sio vijana.
Mkuu Kenya Waliwachukua vijana c wamitaani ni vijana waliokua timamu.fuatilia mambo na c kuambiwa.
 
Mkuu Kenya Waliwachukua vijana c wamitaani ni vijana waliokua timamu.fuatilia mambo na c kuambiwa.
Ktk hilo hakuna haja ya kusikia wala kuambiwa, wala kufatilia mambo kujua udhaifu huo. Ktk kutengeneza ishu kama hiyo watu huwa wanaforsee hayo, hivyo kimkakati hutengenezwa mapandikizi kwa awamu na kwa mtindo tofauti hata hayo mapandikizi hayajuani.
 
Did u knw kdf has infiltrated al shabaab,chec out how many kenyans al shabaab has executed for spying.for kenya, we are investing heavily in security infrastructure to curb this terrorism menace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…