TOFU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2012
- 573
- 196
Kwani Jeshi uimara wake unapimwa na nini...!!??Dah ivi ni Kenya niliyosikia kuwa ndio ina jeshi imara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Jeshi uimara wake unapimwa na nini...!!??Dah ivi ni Kenya niliyosikia kuwa ndio ina jeshi imara
Waliwapeleka vijana waliokotwa mtaani vijiweni hawana hata ajira wala familia? Wanapelekwa VIJANA sio vijana.Watu wengi hawawaelewi all shabab. Wakati mahkama za kiislam walipoangushwa na kuibuka All shabab na kuanza kusumbua Kenya, serekali ya Kenya kupitia kitengo Chao cha ujasus waliwapeleka vjana wng sana ili kujiunga na Al shabab ili kwa kuwatumia vijana hawa waweze kuwamalza Al shabab but vijana walipopelekwa na serikali kuniunga na Al shabab walijikuta wakisahau kilichowapeleka na kupigwa idiology na kua Al shabab hasa. Ukktaka kujua hili mtafute Mohammed Ali wa jicho pevu YouTube .hapo utapata ukweli.kiukwel Kenya itaendlea kupata pigo mpka itakapojisahihisha.
Kwani Al Shabaan niwakina nani..!!??Tanzania I can tell you for free mmeficha al shabaab wengi sana
Uve seen what is happening all over europe,Isis recruits train in the middle east and go back to their countries and form sleeper cells,after sometime they do an attack,the worst thing is this recruits are your own citizens,back to tanzania wale majambazi walioua polisi unaona walikua na nia gani? When al shabaab was recruiting in kenya do u think uganda and tanzania were an exception?Kwani Al Shabaan niwakina nani..!!??
Wanaalama mpaka tujue hawa ni Al Shabaab na hawa ni raia wakawaida..!??
Alaf kama wapo na wanaishi kwa kufata sheria sisi tuna issue nao gani stil hawana madhara na sisi..!!?
Mkuu Kenya Waliwachukua vijana c wamitaani ni vijana waliokua timamu.fuatilia mambo na c kuambiwa.Waliwapeleka vijana waliokotwa mtaani vijiweni hawana hata ajira wala familia? Wanapelekwa VIJANA sio vijana.
Ktk hilo hakuna haja ya kusikia wala kuambiwa, wala kufatilia mambo kujua udhaifu huo. Ktk kutengeneza ishu kama hiyo watu huwa wanaforsee hayo, hivyo kimkakati hutengenezwa mapandikizi kwa awamu na kwa mtindo tofauti hata hayo mapandikizi hayajuani.Mkuu Kenya Waliwachukua vijana c wamitaani ni vijana waliokua timamu.fuatilia mambo na c kuambiwa.