Al Shabab wavamia mji wa Mandera Kenya

Al Shabab wavamia mji wa Mandera Kenya

Nani anayewafadhili hawa mazombi wanapata silaha wapi sababu there is nothing expensive like operating a war, curse be upon themselves.
 
hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?

Kwa issue ya Kenya ni kuwa Alshabab hawataki jeshi la Kenya liwe nchini Somalia, maana kabla ya jeshi hilo la Kenya kuingia Somalia hakukuwa na hayo mashambulizi na utekaji
 
Poleni sana wakenya kwa haya masahibu!

Pia napongeza juhudi zenu za kuwadhibiti!
 
Hao wakenya ngoja waumie tu...
Wao walijipendekeza kwa kufuatana na baba wa magaidi USA.
Acha kuombea binadam wenzio namna hiyo ndugu! Vita ya ugaidi usikie tu!

Acha kabisa tabia za ajabu hizo! Tubishane kwenye mambo mengine sio yanayogusa roho za watu!
 
hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
M uisilamu hawezi kuua hata panda sembuse roho ya mwana damu

Fungua kichwa
 
Hii ni hatari sana. Inabidi EAC na wengine tuangalie jinsi ya kusaidia jinsi ya kuleta amani kwenye eneo letu.
Inasikitisha kuona ka kikundi ka watu wanatishia maisha yetu sote.
juzi tu polisi wenu wamepewa kichapo cha mbwa na hao magaidi alafu unaleta majigambo humu😀
 
Kenyans ni shida juzi wanaleta uzi wanajisifia kua wao wana vyoo vizuri na Tanzania tupo kwenye kumi bora ya tusio na vyoo vizuri. Mara Wanyama ashinda goli, Tanzania mchezo wenu ni upi?

Well natumaini hivyo vyoo na hilo goli la Wanyama litawasaidia jirani zangu.
 
Back
Top Bottom