hivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
Acha kuombea binadam wenzio namna hiyo ndugu! Vita ya ugaidi usikie tu!Hao wakenya ngoja waumie tu...
Wao walijipendekeza kwa kufuatana na baba wa magaidi USA.
M uisilamu hawezi kuua hata panda sembuse roho ya mwana damuhivi hawa al shabaab huwa wanahitaji nini hasa?
as well as hayo makundi yote ya kigaidi mostly waisilamu sometimes wanauwana wao kwa wao ?
huwa wanagombea nini?
juzi tu polisi wenu wamepewa kichapo cha mbwa na hao magaidi alafu unaleta majigambo humu😀Hii ni hatari sana. Inabidi EAC na wengine tuangalie jinsi ya kusaidia jinsi ya kuleta amani kwenye eneo letu.
Inasikitisha kuona ka kikundi ka watu wanatishia maisha yetu sote.