Al Shabbab 14 wauawa wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF)

Al Shabbab 14 wauawa wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF)

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
DBil-NsWAAAI6zx.jpg

Watu 14 wanaodaiwa kuwa ni magaidi wa Al Shabab wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF).
 
Waje na bongo tuone jeshi letu sio kuonea raia wasio na kosa

Swissme
 
View attachment 519541

Watu 14 wanaodaiwa kuwa ni magaidi wa Al Shabab wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF).
Hii habari yakuipigia (X) niyauongo haina ukweli wowote hii simara yakwanza kwa KDF kuongopa hivyo walishawahi hata kutengeneza sinema ili kuwaaminisha umma wakenya jinsi gani walivonanguvu, mida mingine wao ndio wanaouliwa alafu wanatangaza wameuwa
 
Mbona hujitakii mema, unadhani Al Shabab wataua askari na kuacha raia.
Jitafakari kabla ya kuandika.
yaani watz mshukuru al shabaab hawajafika huko na muombe wasije wakafika huko...sijui ndo mtamalizwa wote jinsi waswahili hawapendi kufanya kazi...
 
Hii habari yakuipigia (X) niyauongo haina ukweli wowote hii simara yakwanza kwa KDF kuongopa hivyo walishawahi hata kutengeneza sinema ili kuwaaminisha umma wakenya jinsi gani walivonanguvu, mida mingine wao ndio wanaouliwa alafu wanatangaza wameuwa
whats ur point dude? this thread is not to say that KDF are stronger than tz forces...its a News Alert stop turning it into a TZ vs KE moment.
 
Ngoja na alshabab nao watoe video zao... Walivyowategea mabomu barabarani
 
Hawawezi kumalizwa mpaka uislamu utawale dunia!!!
nazan wewe ni mmoja wao...anyway, dini huwa hailazimishwi...religion huwa ni jambo la kujiamulia...uislamu hauwezi ukatawala ulimwengu kamwe tayari watu wengi wanaidharau Islam na kuiona kama dini ya mende kama hawa alshabaab na ISIS
 
Hii habari yakuipigia (X) niyauongo haina ukweli wowote hii simara yakwanza kwa KDF kuongopa hivyo walishawahi hata kutengeneza sinema ili kuwaaminisha umma wakenya jinsi gani walivonanguvu, mida mingine wao ndio wanaouliwa alafu wanatangaza wameuwa
Hata kama ni uongo, hizo ni mbinu za kijeshi Kumwogofya adui, inawezekana wakawa na taarifa za kuvamiwa kambi yao, wakaamua kuisemea hvo ili adui ajue ameumbuka
 
sasa hivi mpaka nchi kubwa kama USA France na UK wanaangamishwa kila upande na mende hawa...
 
Back
Top Bottom