Al Shabbab 14 wauawa wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF)

Al Shabbab 14 wauawa wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF)

Hii habari yakuipigia (X) niyauongo haina ukweli wowote hii simara yakwanza kwa KDF kuongopa hivyo walishawahi hata kutengeneza sinema ili kuwaaminisha umma wakenya jinsi gani walivonanguvu, mida mingine wao ndio wanaouliwa alafu wanatangaza wameuwa
Tumekuelewa msemaji wa al shabab kwaiyo kumbe kikosi chenu kule porini hakijapungua.
 
Hawawezi kumalizwa mpaka uislamu utawale dunia!!!
Na unaamini kuwa ipo siku mtaitawala dunia? Kumbe mpo mnaoshangilia vitendo hivi!, mkiambiwa dini yenu inachochea ugaidi mtakataa.kuna wasomali kibao wapo kenya wakiendesha maisha yao kwa amani tu na wamekimbia huko kwa sababu ya wapuuzi hao wanaoamini wataitawala dunia kupitia ugaidi.
 
nazan wewe ni mmoja wao...anyway, dini huwa hailazimishwi...religion huwa ni jambo la kujiamulia...uislamu hauwezi ukatawala ulimwengu kamwe tayari watu wengi wanaidharau Islam na kuiona kama dini ya mende kama hawa alshabaab na ISIS
Hao sio mende ni JESHI la Ar-Rahman wanaotaka kuusimamisha uislamu All over the World na kushika doullat Islamia na kuwaangamiza hawa FUNZA wanaowasumbua waislamu kila Leo.
 
Waje na bongo tuone jeshi letu sio kuonea raia wasio na kosa


Swissme
Tayari kwisha habari yako!! Ubongo tena hauwezi chambua na kupambanua Mambo kadha wa kadha.


Chonde chonde wanasiasa wa Tanzania punguzeni spidi tunawapoteza dada zetu na kaka zetu...naumia kuona watu wanavyokuwa watumwa wa Siasa.
 
Tanzanians trust me in the fight against terrorism u cant be better,for the US to beat terrorism it has stationed the CIA worldwide na bado walipatwa
 
Tayari kwisha habari yako!! Ubongo tena hauwezi chambua na kupambanua Mambo kadha wa kadha.


Chonde chonde wanasiasa wa Tanzania punguzeni spidi tunawapoteza dada zetu na kaka zetu...naumia kuona watu wanavyokuwa watumwa wa Siasa.

Tatizo sio wanasiasa, tatizo ni mtu kuwa punguani na kuruhusu wanasiasa wacheze na akili yako.
 
Kwaiyo taarifa za wao wakiuliwa unaona sahihi, ila taarifa za wao kuwauwa alshababy unaona ni zauongo!!!! Ndugu, usipende akiliyako ika egemea upande wa Magaidi ita kuletea shida.
 
Back
Top Bottom