Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Swissme, pole sana ndugu yetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuelewa msemaji wa al shabab kwaiyo kumbe kikosi chenu kule porini hakijapungua.Hii habari yakuipigia (X) niyauongo haina ukweli wowote hii simara yakwanza kwa KDF kuongopa hivyo walishawahi hata kutengeneza sinema ili kuwaaminisha umma wakenya jinsi gani walivonanguvu, mida mingine wao ndio wanaouliwa alafu wanatangaza wameuwa
Na unaamini kuwa ipo siku mtaitawala dunia? Kumbe mpo mnaoshangilia vitendo hivi!, mkiambiwa dini yenu inachochea ugaidi mtakataa.kuna wasomali kibao wapo kenya wakiendesha maisha yao kwa amani tu na wamekimbia huko kwa sababu ya wapuuzi hao wanaoamini wataitawala dunia kupitia ugaidi.Hawawezi kumalizwa mpaka uislamu utawale dunia!!!
Hao sio mende ni JESHI la Ar-Rahman wanaotaka kuusimamisha uislamu All over the World na kushika doullat Islamia na kuwaangamiza hawa FUNZA wanaowasumbua waislamu kila Leo.nazan wewe ni mmoja wao...anyway, dini huwa hailazimishwi...religion huwa ni jambo la kujiamulia...uislamu hauwezi ukatawala ulimwengu kamwe tayari watu wengi wanaidharau Islam na kuiona kama dini ya mende kama hawa alshabaab na ISIS
Tayari kwisha habari yako!! Ubongo tena hauwezi chambua na kupambanua Mambo kadha wa kadha.Waje na bongo tuone jeshi letu sio kuonea raia wasio na kosa
Swissme
Tayari kwisha habari yako!! Ubongo tena hauwezi chambua na kupambanua Mambo kadha wa kadha.
Chonde chonde wanasiasa wa Tanzania punguzeni spidi tunawapoteza dada zetu na kaka zetu...naumia kuona watu wanavyokuwa watumwa wa Siasa.
Waishie huko huko sisi tumezoea kuvunja tofal bhana.Waje na bongo tuone jeshi letu sio kuonea raia wasio na kosa
Swissme
Picha tafadhaliView attachment 519541
Watu 14 wanaodaiwa kuwa ni magaidi wa Al Shabab wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wakijaribu kuvamia kambi ya Jeshi la Kenya (KDF).