Alaaaaah!!

Alaaaaah!!

ngombelee

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
376
Reaction score
285
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah.......
kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom