Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam,

Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.

Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki mpate kuamka tena kimaisha.

Inshallah Mungu ni mwema

Wadiz
 
Mapinga kubwa,maeneo yepi mkuu
 
Naomba taarifa kamili tafadhali ninaye ndugu yangu huko ana geto lako wasijekuwa wamelivunja muda si muda anipigie nimpe msaada .

Nialert mapema nimkwepe

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam,

Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.

Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki mpate kuamka tena kimaisha.

Inshallah Mungu ni mwema

Wadiz
Watanganyika wanatesaka kati ardhi ya nchi yao....kuna mwisho, ipo siku.
 
Back
Top Bottom