Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mapinga kubwa,maeneo yepi mkuuWasalaam,
Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.
Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki mpate kuamka tena kimaisha.
Inshallah Mungu ni mwema
Wadiz
Naomba taarifa kamili tafadhali ninaye ndugu yangu huko ana geto lako wasijekuwa wamelivunja muda si muda anipigie nimpe msaada .Wasalaam,
Tanzania ya wabeba ndio sasa watu wamebomolewa nyumba zao na kuibiwa vitu huko Kijiji cha Mapinga Bagamoyo. Ni huzuni kubwa sana sana. Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kustahimili wahanga wote.
Tunawapenda wote na Mungu aweke wepesi kwenye machungu yenu. Akawape rehema ya riziki mpate kuamka tena kimaisha.
Inshallah Mungu ni mwema
Wadiz
Picha ya nyumba zilizobomolewa na picha za wahanga wakiwa wanalia machoziWeka picha tusikitike vizuri[emoji26]
Weka na sio tuoneNimeona hiyo clip.....nyumba kibao zkmepigwa chini
Nime upload hapo chinWeka na sio tuone
Haya yanafanyika kwa sababu CCM imegeuka pango la wauaji na majambazi.Clip hii hapa [emoji1313]View attachment 2742214
Bro kama ni eneo la mtu wamejenga mi nawaunga mkono waliovunjaClip hii hapa [emoji1313]View attachment 2742214
Jamaani video hio hapo shukrani sana mleta videoClip hii hapa [emoji1313]View attachment 2742214
Watanganyika wanatesaka kati ardhi ya nchi yao....kuna mwisho, ipo siku.Wasalaam,