Alaaniwe aliebomoa nyumba za watu na kuiba vitu vyao huko Mapinga Bagamoyo


Kama huyo mmiliki wa mwanzo alipewa hati iliyosainiwa na kamishna wa ardhi.. hapo pagumu.


Ni Rais peke yake ndie ana mamlaka ya kumpora umiliki wa hiyo ardhi.

Sio mkurugenzi tu Hata waziri Mkuu hawezi kufuta huo umiliki
 
Miaka mitatu lakini lirudi serikalini hati ifutwe halafu apewe mwengine.

Kama alikuwa na hati halali na anailipia, huna ujanja.
 
Lijamaa wewe unaweza kuta ni shabiki wa lisu
 
wanaokamata maeneo makubwa hivyo wanakuwaga wap mpk watuvamie?
 
Tatizo ni pale unapodanganywa na matapeli kuwa hayo mashamba ni ya kijiji kumbe ni mashamba ya watu!
Unaponunua ardhi epuka njia za mkato na hakikisha unafanya search wizarani. Kuna matapeli wengi sana hasa wa viwanja!
 
Hivi ukivamia shamba lisilo na title deeds mwenye shamba anaweza kukushinda na ukabomolewa?
 
Haya yanafanyika kwa sababu CCM imegeuka pango la wauaji na majambazi.

Na usikute hao jamaa walisindikizwa na polisi kufanikisha unyama huu.

IGP Wambura yupo bize kupambana na kina Lissu wasifanye mikutano badala ya kusimamia sheria
Kila kitu lawama kwa ccm, ukifanya umalaya wako ukaambukizwa kaswende lawama kwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…