jang
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,415
- 1,186
Da umenikumbusha Ibra sijui yuko wapi siku hizi. Miaka ya 2006 kama sikosei alikua anakuja sana Migo kwa dada yake. Dada yake alikua mhuni kinyama.
Alishatokaga rehabilitation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da umenikumbusha Ibra sijui yuko wapi siku hizi. Miaka ya 2006 kama sikosei alikua anakuja sana Migo kwa dada yake. Dada yake alikua mhuni kinyama.
Wasanii mnaleta trafficMitambo yangu fati awa hisabbati
styles tofauti ndo zinatuweka kwenye chati
Wengi hawataki
wengine wanahamaki
Hii biti ya P funk naitambalia kama sitaki
Check ninavyotembea
Check ninavyoenea
Check makiki masnea
af check unavyonielewa
Nawakilisha hip-hop ndo sababu nipo hapa baab
Pesa ndo kitu sina na ntazisaka daima
mtu mzima mwanaume majukumu laZima
Gem nguum nabadilikia humuhumu
Nasukuma hip-hop gurudum nakomaa humuhumu
nazidi kutema sumu
gem ngumu
commercial niggaz wanapumu
mistari inawahukumu
hawajui wanachosema
kwenye show wanahema
flow zao za kikuuuuuu...
usoni cna ngenya ila moyoni sio mwema
sipendi sana kutema sababu kuna madini natema
nikitema leo kesho unakuta dukani yanauzwa
nisipotema keshokutwa mcs tutawauguza
Tunakuja pm mkuu
Mkuu we ndie lord ize unaenda pm au ni kundi lote