Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
H je?Basi tu wakuchanganye mteja ila zote izo hazina speed.
1G ndio G (GPRS)
2G ndio E (EDGE)
Hapa nimeelewa vyema mkuu. Asante!Mad Max said:Basi tu wakuchanganye mteja ila hizo hazina speed.
1G ndio G (GPRS)
2G ndio E (EDGE)
Karibu mkuu.SHABANIMAVOCHA said:Kuna nilichojifunza hapa. Asante mtoa mada.
Kwa sababu hyo ni 3G fake ambayo ni 2G og.Mad Max said:LTE 4G ikishuka 3G huwezi hata kufungua Google. Why?
Hiyo wanajua watengeza simu alafu acha kuongea uongo simu ya analogue kuwa picking kuliko smartphone hiyo haiwezekaniWanaJF habarini!
Mara nyingi niwapo vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo.
Pale nikiwa kwenye data huwa inatokea alama "E" lakini kuna baadhi ya maeneo nikiwa kwenye data alama "G" hutokea japo mara chache sana.
Je, hizo alama humaanisha nini? Nini tofauti?
kinachofanya simu ndogo iwe fast na kubwa iwe slow ni browser. hio simu kubwa ukieka opera ya zamani version 7 kushuka itakuwa speed pia kwenye E ama weka uc mini version ya zamani pia 9.8 kushukaMkuu Ngwango umeelewa kweli nilichoandika? Sijasema java phones zina speed kuliko smartphones, la! Nimesema java phones zina speed kwenye network dhaifu kuliko smartphone ikiwa kwenye network dhaifu (naandika/naongea kutokana na uzoefu). Ukiwa sehemu ya 2G unaweza kutumia hata dakika 30 kupakua wimbo wa 3MB kwa smartphone tofauti ukitumia java phone.
Hapa nilipo nimeshindwa kuperuz JF kwa smartphone ila kwa simu ndogo (java phone) natumia kama kawaida kama unavyoniona.
zote G na E ni 2g, ilianza G then ikaja E ambayo wengine wanaita 2.5G.Basi tu wakuchanganye mteja ila zote izo hazina speed.
1G ndio G (GPRS)
2G ndio E (EDGE)