Alama hii ina maana gani?

Alama hii ina maana gani?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Nimeona mtu kaivaa mkononi kidogo imenishtua maana iko tofauti na ninazoziona kwa Wamasai au madukani.

Ukiichunguza vizuri katikati kuna kitufe kimoja kina kapicha kama sura ya mtu fulani au zile mojawapo ya nembo ya Freemason.

Hivi kina maana gani?

IMG_20191201_225844.jpeg
 
Kama kina nembo ya freemason jaribu kuvaa, ukiona hujapata hela tangu ukivae ujue sio na habari ya freemason ni utapeli na watu wanaosema hivyo ni waongo wanapaswa kupuuzwa
Baba kaivaa naogopa kuiweka nitapewa ban
 
Kuna mtu umemlenga we mtoa post na unakusudia kupotosha kwa lengo la kumjengea chuki za kishirikina..., ile ni rozari tu acha uzwazwa... Kwa wakatoliki kuivaa mkononi, kidoleni kama pete, au shingoni, ni kitu cha kawaida kiimani. Acha propaganda mfu.

Na "calture" ndo kitu gani?
Ulichoelewa
 
Mbona nanii nimemwona kaivaa ina maana nae anaabudu huko?
Ukisema nanii ni nan ss m siwez mjua


Kama haabudu huko basi kavaa kama urembo mbna kua watu sio waislam ila wanavaa kanzu au sio wakeisto ila wanavaa rosali
 
Akivaa star ndo kabisaaa bora mimi kapuku, maana ntaambiwa tu kua hizo ni nembo za shetani kaa nazo mbali. Ila kama ni celebrity basi ataandamwa huyo kua chanzo cha umaarufu wake ni freemason
Kweki kabisa
 
Back
Top Bottom