Inategea na mtu huenda anaabudu buddhism au amefanya kama urembo ni sawa na mkristo kuvaa rosaliKukivaa kina maana gani
Akivaa star ndo kabisaaa bora mimi kapuku, maana ntaambiwa tu kua hizo ni nembo za shetani kaa nazo mbali. Ila kama ni celebrity basi ataandamwa huyo kua chanzo cha umaarufu wake ni freemasonSasa ivi kila kitu kitahusishwa na freemasons
UlichoelewaKuna mtu umemlenga we mtoa post na unakusudia kupotosha kwa lengo la kumjengea chuki za kishirikina..., ile ni rozari tu acha uzwazwa... Kwa wakatoliki kuivaa mkononi, kidoleni kama pete, au shingoni, ni kitu cha kawaida kiimani. Acha propaganda mfu.
Na "calture" ndo kitu gani?
Ukisema nanii ni nan ss m siwez mjuaMbona nanii nimemwona kaivaa ina maana nae anaabudu huko?
Hii hapa mi nimeuliza tuu maana sijui hata mimi sio wa imani hiyoView attachment 1278880