Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Registered trade mark symbol.Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii? View attachment 1080316
kwa Tanzania je tunaitumia hiyo maana nyingi naona ni bidhaa za nnje tuTukiwa tunawasubiri wajuzi.
Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.