Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
-
- #201
π π π
imewekwa mkuu
Ya mwili mzima lakini, maana pichu zinaweza kuwa zimempa alama pia kwa nyuma inabidi tuone tumsaidie mawazo.imewekwa mkuu
Mm sina hata alama ya bra na nivaa kila siku halafu bidada usilale na bra ni hatari kwa afya yako kuna salatani japo sina uhakika inasababishwa na hivyo ila hata wanasayansi wanasema hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sina hata alama ya bra na nivaa kila siku halafu bidada usilale na bra ni hatari kwa afya yako kuna salatani japo sina uhakika inasababishwa na hivyo ila hata wanasayansi wanasema hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea kama profesheno hapo mchawi ni kulala nayo hiyo bra "pilizi stop slipini wizi bra"
Anha, bas sawa dawa ni moja kuacha kuvaa bra.. Or tafuta oversized bra.. Or vaa vest instead of bra..
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ na walioachangia wengi ni mamen πππππ dadeq..had unabak unastaajabu
Mmmmhhhhππππ na walioachangia wengi ni mamen πππππ dadeq..had unabak unastaajabu
Siyo kwamba ni alama za kuchomwa na jua Dada? Kwa hiyo palipopita bra ndiyo panabaki peupe? Labda jaribu kuvaa ambaz hazibani sana na nguo za juu zisiwe shifonyi maana huwa zinapenyeza jua.Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
manengelo huu Uzi sasa..
Pamoja na kujifunza jamani nimecheka comments za vidume...LOL!
Huo ushauri wao sasa mie hoi! πππ
Siyo kwamba ni alama za kuchomwa na jua Dada? Kwa hiyo palipopita bra ndiyo panabaki peupe? Labda jaribu kuvaa ambaz hazibani sana na nguo za juu zisiwe shifonyi maana huwa zinapenyeza jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chenye kusaidia zaidi ni kupunguza kuvaa.
Ukiwa ndani ukaweka kanga, ukiifunga shingoni na kuibana chini, it will hold the girls to some extent.
Ama tumia top ya swimming costume ukiwa ndani cos strings zake nyembamba.