Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

😂😂😂😂 na walioachangia wengi ni mamen 😂😂😂😂😂 dadeq..had unabak unastaajabu


Na ndio nilichoshangaa, nikapitia kwanza comments nione wadada wengine wanasemaje na kupata experience yao, nakutana na comments kibao za Men wanakwambia uvae vest..😁😁😂😂😂
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Siyo kwamba ni alama za kuchomwa na jua Dada? Kwa hiyo palipopita bra ndiyo panabaki peupe? Labda jaribu kuvaa ambaz hazibani sana na nguo za juu zisiwe shifonyi maana huwa zinapenyeza jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
manengelo huu Uzi sasa..
Pamoja na kujifunza jamani nimecheka comments za vidume...LOL!

Huo ushauri wao sasa mie hoi! 😁😂😂

Afadhali nimekuona hapa, naomba unipe summary kwa maelezo rahisi ili ikitokea mwenza wangu akawa na hilo tatizo niweze kumsaidia.

Maelezo yakiambatana na picha (for illustration purposes) itapendeza zaidi.
 
Chenye kusaidia zaidi ni kupunguza kuvaa.
Ukiwa ndani ukaweka kanga, ukiifunga shingoni na kuibana chini, it will hold the girls to some extent.
Ama tumia top ya swimming costume ukiwa ndani cos strings zake nyembamba.
 
Back
Top Bottom