Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😢😢😢😢😢!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Unalala na bra? Kwanini? (Samahani kama unaona nimekengeuka!)
 
kuvaa bra inamaansha kwamba unapga jeck mzgo usiende down sana so kam utaacha cjui nn ktatokea by the way mistar mbna yechu tu
 
Back
Top Bottom