Alama hizi za bra zinatokaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]konyo sana ww aiseee
Daah halafu mimi nina kaugonjwa kakupenda galz ambao huwa wanazi tunza nywele zao katika muonekano wa kiasili. Kama hivyo ulivyo suka ... bila ya kusahau mwanamke mwenye nywele nyingi za asili ni sehemu ya ugonjwa wangu .... sasa hapo naona wewe una nywele nyingi sana kiasi kwamba mpaka unasuka mafungu mawili !!? Wakubwa wanafaidi

Dahh ngoja niishie hapa tafadhalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 


zina dawaaaa😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…