Alama hizi za bra zinatokaje?

wakati nipo form2 ndo manyonyo yaloanza kuota..bas nikawa naona aibu..nikawa navaa zile sports bra nalala nayo since then jaman..siwez lala bila bra..!..hii toka navunja ungo had labor mie naenda na bra[emoji23][emoji23]..
Umeenda hadi labor and then unaishi na Baba yako na Mama yako?
haya maisha haya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuzaa na wababa, ni lazima uendelee kukaa kwenu.
Maisha safi. Wazazi wako maisha yangewa ya hovyo, washakutimua long time ago

Sent using Jamii Forums mobile app

😩😩😩😩😩 walishanitimua long tym..nikikosa msos narudi aisee...watoto wapo kwa baba zao...mie ndo nahangaika kitaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16]nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa[emoji16][emoji16][emoji16] mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewe[emoji16][emoji16]nilijisikia ovyo[emoji58]
Dingi ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…