Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

wakati nipo form2 ndo manyonyo yaloanza kuota..bas nikawa naona aibu..nikawa navaa zile sports bra nalala nayo since then jaman..siwez lala bila bra..!..hii toka navunja ungo had labor mie naenda na bra[emoji23][emoji23]..
Umeenda hadi labor and then unaishi na Baba yako na Mama yako?
haya maisha haya....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa[emoji16][emoji16][emoji16] mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewe[emoji16][emoji16]nilijisikia ovyo[emoji58]
Dingi ????
 
Back
Top Bottom