Nimefurahi kuwa tupo wote.[emoji22][emoji22][emoji22]nimerithi ya mama..usinicheke usinitenge[emoji23][emoji23]
kweli ukiona utanionea hurma..sema mnaleta utaniOya elete kwanza pm niisaminisheee
π
kweli ukiona utanionea hurma..sema mnaleta utani
Punguza kuvaa braa nyeusi. Ina sharubu mwanga na kukuchoma sana kwenye ngozi
Pole sana. Paka mafuta ya nazi basi. Usiliee
πππkama naanza kukuamini..napenda bra nyeusi asikuambie mtu..dadek.huenda kuna ukweli bwana..nyeupe navaa occasionally
Unavaa braa nyeusi ili ikichafuka isionekane siyo?
πππkama naanza kukuamini..napenda bra nyeusi asikuambie mtu..dadek.huenda kuna ukweli bwana..nyeupe navaa occasionally
Haya sasa uzuri gharama ya mistari
Aisee! Hataree! Haujaenda ibadani leo?Kilo 2
wakati nipo form2 ndo manyonyo yaloanza kuota..bas nikawa naona aibu..nikawa navaa zile sports bra nalala nayo since then jaman..siwez lala bila bra..!..hii toka navunja ungo had labor mie naenda na bra[emoji23][emoji23]..